Monday, 14 November 2016

Wema Sepetu: Munalove ni Mshamba

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambae kwa sasa ametibuana na aliekuwa rafiki yake Munalove amesema kuwa Muna ni msamba.
wema-na-muna
Wema Sepetu, Mama Wema na Munalove
Akihujiwa na e newz juu ya  bifu lake na Muna, Wema alidai kuwa  Kudai kuwa yeye huwa hadeal na washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea….
Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo’-Wema alisema.
By Barafu on JF

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM