Saturday, 12 November 2016

Wananchi Urambo wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Sitta

Mwili wa Samuel Sitta ulisafirishwa jana kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma ambako Wabunge, Viongozi wa Mkoa na wananchi walipata fursa ya kuuaga katika Viwanja vya Bunge na baadaye ulisafirishwa kwenda Urambo Tabora ambako maziko yanatarajiwa kufanyika leo November 12 2016 majira ya saa nane mchana.
Kwenye hii video fupi hapa chini ni Wananchi wa Urambo Tabora wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu, Spika mstaafu Samuel Sitta ktk viwanja vya shule ya msingi Urambo

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM