Wednesday, November 30, 2016

UPDATES:PICHA NYINGINE ZA AJALI YA NDEGE ILIYOUA WACHEZAJI WA KBLABU YA BRAZIL

Players and staff of the Chapecoense team pose for a photograph in front of the plane before their fateful flight

A rescue worker inspects the shattered fuselage of the plane that came down in a mountainous part of Colombia.

Moja kati ya habari au matukio makubwa yaliyotokea asubuhi ya November 29 2016 ni taarifa ya kikosi cha timu ya soka ya Chapecoense ya Brazil kupata ajali ya ndege wakiwa angani kuelekea kutua katika uwanja wa ndege wa Medellin.
screen-shot-2016-11-29-at-1-52-46-pm
Ndege hiyo kabla ya kuanguka katika milima ya Colombia ilianza kupotea katika rada, ndege hiyo ya shirika la ndege la Airline LaMia  imethibika kuwa ilikuwa imebeba abiria 72 na wafanyakazi 9 wa ndege, abiria hao 72 wanaripotiwa wote walikuwa ni msafara na wachezaji wa timu ya Chapecoense ya Brazil.
1047951604
Kikosi cha timu hiyo kilikuwa kinasafiri kuelekea Colombia kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa fainali ya Sudamerican dhidi ya Atletico Nacional ya Colombia ambapo mchezo huo ungechezwa Jumatano ya November 30 2016,  kati ya watu 81 waliokuwemo katika ndege hiyo ni watu 5 ndio wametoka salama na 76 wameripotiwa kupoteza maisha.
screen-shot-2016-11-29-at-1-53-04-pm.
 MAAMUZI YA TIMU YA Atletico Nacional ya Colombia BAADA YA AJALI YA NDEGE
 
Klabu ya Atletico Nacional ya Colombia ambapo ilikuwa icheze mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Sudamericana kesho Jumatano ya November 30 2016 Colombia dhidi ya klabu ya Chapecoense ya Brazil imetangaza maamuzi tofauti.
1480397623_017517_1480398498_noticia_normal
Atletico Nacional ambapo ndio wangekuwa wenyeji wa mchezo huo wa fainali ya kwanza, wameomba shirikisho la soka la America Kusini (CONMEBOL) kuwa kutoa Kombe hilo kwa timu ya Chapecoense ya Brazil kama sehemu ya heshima.
a-nacional-sampiyon-chapecoense-ilan-edilsin-8079098
Msafara wa watu 72 wa timu ya Chapecoense ya Brazil wamepata ajali ya ndege asubuhi ya leo  wakiwa Colombia, ndege hiyo imepata ajali ikiwa na jumla ya watu 81 kati ya hao watu 9 ni wafanyakazi wa ndege, katika list ya watu 81 ni watu watano tu ndio wamefanikiwa kutoka salama.

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.