Saturday, November 12, 2016

‘Tulipata wakati mgumu kumtambua Mzee Sitta kama bado ni kada wa CCM’ – Mbowe

Freeman Mbowe ni mbunge wa jimbo la Hai na mwenyekiti wa CHADEMA taifa ambaye leo November 11 2016 alipata nafasi ya kuongea wakati wa kuuaga mwili wa Spika mstaafu Samuel Sitta ndani ya bunge Dodoma.
Mzee Sitta tulimuona kama kiongozi asiekua mbaguzi wa kiitikadi, aliamini katika kubadilisha kwenda kwenye ubora katika nafasi yote ya utumishi wa UMMA aliyoihudumia, alikua mtu aliejaza matumaini watu wote aliowaongoza wakati wote, alikua mtu wa kuunganisha makundi yote‘ – Mbowe
Mara nyingine sisi wapinzani tulipata wakati mgumu sana wa kumtambua Mheshimiwa Sitta bado ni kada wa CCM sababu alikua na uwezo wa kutujaza matumaini, kutupa fursa ya kutusikiliza lakini mwishoni tunakuja kugundua bado ni wa CCM‘ – Freeman Mbowe
Kutazama yote aliyosema Freeman Mbowe tazama hii video hapa chini
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.