Wednesday, 30 November 2016

Tiffah wa Diamond Platnumz Awa Mtoto wa Kwanza Africa Kufikisha Followers Milioni Moja Instagram

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip 🚘 THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS😘.

Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM