Thursday, 10 November 2016

TB joshua kikaangoni kwa kukosea utabiri


Tuliaminishwa kuwa Lowasa Ndiye Rais wa Awamu ya Tano. Imani hiyo iliongezeka baada ya TB Joshua kututhibitishia kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye! Hakuwa. Mwisho wakasema kuwa Lowasa alichaguliwa ila aliibiwa kura! Tukakaa kimya.
Limekuja hili la Trump na Hilary Clinton. TB Joshua kwa Mara nyingine akaja tena na kutuambia, anamuona Mwanamke akitawala Marekani. Akabashiri ushindi kwa Hilary Clinton. Kwa mara nyingine tena Utabiri haukuwezekana! Hapa hakuna kura iliyoibiwa.
Tunaambiwa pia kuwa Mtu amepewa maono kuwa Rais Magufuli atakufa mwaka huu. Haya ni maono yake Godbless Lema na ameomba tusimshambulie yeye kwa vile ndivyo maono yake yalivyo.
Najiuliza sana. Hivi tuna Miungu wangapi? Je Mungu wa Kweli Muumba Mbingu na Ardhi anaweza kuhangaika kutuchagulia nani atutawale? Siyo kwamba Tuna miungu wanaoingilia imani zetu nasi tunawaamini na kuwakumbatia?
Kwa hili kuna haja kwa kila mwanasiasa na ikiwezekana watu wote kuhakiki imani zao. Yawezekana kuna watu wameingiliwa na shetani na wamemgeuza kuwa Mungu wao.

4 comments:

 1. I decided to go back to the whole clip and discovered that TB Joshua spoke in parrables about the US election and not directly , only the wise can listen and the fools jump into conclution, he just described the two sides of Hillary Clinton and Donald Trump , he talked about the bad things wich will happen as Hillary Clinton wins and in the end the good things about trump like couragious and call him friend and saluted him , only the wise can listen , it's a great lesson to me the way media has no wise people to listen. 
  12kajoju@Gmail.com

  ReplyDelete
 2. I decided to go back to the whole clip and discovered that TB Joshua spoke in parrables about the US election and not directly , only the wise can listen and the fools jump into conclution, he just described the two sides of Hillary Clinton and Donald Trump , he talked about the bad things wich will happen as Hillary Clinton wins and in the end the good things about trump like couragious and call him friend and saluted him , only the wise can listen , it's a great lesson to me the way media has no wise people to listen. 
  12kajoju@Gmail.com

  ReplyDelete
 3. nimetafuta na kuchunguza hakuna mahali TB Joshua aliwahi kusema lowasa atakuwa rais wa Tanzania isipokuwa vyombo vya habari kuvumisha hivyo kwa vile aliudhuria ibada kwenye sinagogi church (scoan) kama ipo tupe na sisi tusikie mwanzo mwisho.Nionavyo mimi Lowasa alibarikiwa kutoka kuitwa fisadi hadi kuwa mgombea teule wa upinzani, ambapo ni nafasi hadimu.

  ReplyDelete
 4. My friend did you listen the whole clip? why did he say Donald Trump will escape and not Hillary Clinton? or you joined that small group of people in the church after mentioning narrow winning of Hillary they up louded? because this are the one made it difficult for people to keep listen as they already jumped into conclution.

  NARROW WIN
  If you read mathew 19:24 it says.
  " And again I say unto you, It is easier for a camel to go through the eye of a needle, than for a rich man to enter into the kingdom of God."
  narrow win means difficult for her to win, he mentioned trump escaped and congratulated him. Give glory to God

  ReplyDelete

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM