Thursday, November 10, 2016

TB Joshua aondoa utabiri wa ushindi wa Clinton Facebook

TB Joshua prophecy screen grab posted by Delta Breed on Monday 7 November 2016A screen grab from Citi FM in Ghana, saying a Facebook post is no longer available
Utabiri uliofanywa na muhubiri maarufu wa Nigeria, TB Joshua kwmba Hillary Clinton atashinda uchaguuzi wa urais nchini Marekani umeondolewa katika akaunti yake ya facebook.
Bwana Joshua aliwaambia wafuasi wake siku ya Ijumaa kwamba ameona mwanamke akishinda.
 Walioshangazwa na hatua ya TB Joshua
 Walioshangazwa na hatua ya TB Joshua
Baada ya Donald Trump kushinda kwa wingi wa kura katika uchaguzi wa Jumanne ,wageni katika ukurasa wa facebook wa Muhubiri huyo walishangaa walipoona utabiri huo umeondolewa.
Walioshangazwa na hatua ya TB Joshua 
Image caption Walioshangazwa na hatua ya TB Joshua
Muhubiri huyo tajiri anajulikana kama 'mtume' na wafuasi wake.
Ni mmojawapo wa wahubiri maarufu nchini Nigeria na anajulikana sana barani Afrika huku wanasiasa wengi wakiwa wafuasi wake.Meme about TB Joshua showing a man hiding behind a tree
 Meme showing Pinocchio and the words:
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.