Saturday, November 5, 2016

TAARIFA ZA JESHI LA POLISI KUHUSU KIFO CHA THOMASI MASHALI,WATUHUMIWA WAKAMATWA

Image result for mashali 
TV inae kamishna wa kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro akiongelea kuhusu waliomuua bondia maarufu wa Tanzania Thomas Mashali aliyezikwa juzi Kinondoni Dar es salaam.
Sirro amesema ‘Thomas Mashali ambaye ni marehemu kifo chake kimetokana na kipigo na inaonekana siku ya tukio alikua na ugomvi na vijana kule Kimara,

inaonekana walikua na chuki ya muda mrefu kwahiyo vijana wa kihuni wapatao kumi na kitu ambao walimshambulia kwa mawe‘

Kupata taarifa yote ya Polisi unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.