Monday, 7 November 2016

Taarifa rasmi: Aliyekuwa Spika wa Bunge Samwel Sitta afariki dunia

Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani. 1-1
Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa 7:30 kwa muda wa nchini Ujerumani alikokuwa akitibiwa.
Rais Magufuli amtumia Spika wa Bunge salama za rambirambi kufuatia kifo cha Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta.
14900623_1211171075619909_2239070354351026852_n

Wadau mbalimbali walioguswa na msiba huyo watoa yamoyoni
sitta Alipost Issa Michuzi
Barnaba
Spika wa bunge mstaafu mh: samuel sitta amefariki dunia kuamkia leo ulale salama Baba mengi mazuri umefanya pamoja na kujenga Nchi yetu Tanzania mungu akuweke maala Penye ewa ya pepo na malaika wake wakujie pole kwa nduguNa marafiki R.I.P
Jerry Muro
Tulikupenda sana mzee wetu Mhe Samwel Sitta, ila Mungu amekupenda sana pumzika kwa amani mzee wa viwango R.I.P Mzee Samwel Sitta

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM