Saturday, 12 November 2016

Picha:Spika Mstaafu Samuel Sitta azikwa Leo Urambo Tabora

November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM