

Scorpion
alipandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Flora Haule ambapo kesi yake
ilitajwa na kupangiwa tarehe nyingine kutokana na upelelezi
kutokamilika.
Kesi
ya Scorpion ambayo inavuta hisia za watu wengi ambao wamekuwa wakijaa
mahakamani hapo wakiwemo ndugu zake na wale wa upande wa pili wa Said,
imepangwa kutajwa tena Novemba 16, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment