Tuesday, 1 November 2016

Ratiba ya michezo ya UEFA leo

Ligi ya Mabingwa barani ulaya inaendelea usiku wa leo Jumanne ya November 1 kwaa michezo mbali mbali.
uefa-champions-league-696x370
Leo patakuwa na michezo ya makundi A,B,C na D timu za makundi hayo ndo ambazo zitamenyana kila moja kutafuta points ambazo zitamuwezesha kusonga mbele.
Ratiba ya michezo yote ya usiku wa leo.
Group A
Basel vs Paris Saint German
Ludogorets Razgrad vs Arsenal

Group B
Besiktas vs SSC Napoli
Benfica vs Dynamo Kyiv

Group C
Borussia Monchengladbach vs Celtic
Manchester City vs Barcelona

Group D
Atletico Madrid vs FC Rostov
PSV Eindhoven vs Bayern Munich

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM