Sunday, 20 November 2016

RAIS DKT MAGUFULI AVUNJA BODI YA TRA, ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WAKE BERNARD MCHOMVU -

3
Bernard Mchomvu

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya mapato nchini TRA, Bernard Mchomvu ameamka na habari mbaya Jumapili hii. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemshushia rungu yeye na bodi yake.
Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu Jumapili hii:

6eb3f220-d470-451a-ac10-416c3ae72102

Hatua hiyo imekuja katika kipindi ambacho mamlaka hiyo imeonesha kufanya vizuri zaidi katika kukusanya mapato ambapo imefanikiwa kukusanya shilingi trilioni 1.15 kwa mwezi Oktoba mwaka huu ikiwa ni kukamilisha malengo waliyojiwekea katika ukusanyaji wa mapato.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM