Saturday, 5 November 2016

Rais Magufuli aeleza Sababu ya kutopenda kwenda Taifa kuangalia mechi

Kutoka Ikulu Dar es Salaam Tanzania leo November 4 2016 Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametoa sababu za kwa nini huwa hapendi kushiriki katika mchezo wa soka moja kwa moja kwa kwenda uwanjani kama viongozi wengine.
Rais Magufuli aliongea sababu ya yeye kutopenda kwenda uwanjani wakati wa mkutano wake na wahahariri wa vyombo vya habari Ikulu “Ninapenda michezo ila sipendagi kwenda kwenye michezo ambako watu wanapenda kupigana wanang’oa viti ambavyo vimegharimu hela nyingi”

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM