Friday, 18 November 2016

PICHA ZA UTOTONI ZA OBAMA,TRUMP,MICHELLE NA HILLARY CLINTON


Imekuwa ni kazi yangu kila Alhamisi kukumbushana picha za zamani za watu maarufu “TBT”, leo Nov 17 2016 nakusogezea TBT za Rais wa Marekani anayemaliza muda wake Barack Obama na mkewe Michelle Obama, rais mteule wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi mkuu nchi humo Hillary na mume wake ambaye nae ni Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton.
Nakusogezea picha hizo hapa chini uweze kuzitazama.
Hillary Clinton siku ya harusi na mme wake Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton
Hillary Clinton
Michele Obama mke wa Rais wa Marekani anayetarajiwa kuustaafu Jan 2017, Barack Obama
Baracka Obama
Donald Trump
Donald Trump, Rais Mteule wa Marekani

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM