Thursday, November 3, 2016

Paka anga'ang'ania kwenye kaburi zaidi ya mwaka sasa,baada ya mwenye paka kufariki

Pictures have emerged of a grieving cat who misses her late owner so much she has spent a year living at her grave
Hili ni tukio la kushangaza kidogo ndugu msomaji wa KwataUnit.comlakini ndivyo ilivyo na Imetokea huko Central Java Indonesia, Siku ya mazishi ya mmiliki wa paka, paka huyo alionekana akilia huku akionekana kuwa na huzuni kubwa.
The heartbroken animal was first heard crying while lying in the earth at the burial plot in Central Java, Indonesia
Kaburi kabla hawajalijengea.
Na baada ya kuzika basi alihamishia makazi yake huwa juu ya kaburi hilo, Akikaa muda wote asubuhi, mchana mpaka usiku, Akitoka anaenda kutafuta msosi anarudi tena juu ya kaburi hilo.
Passer-by Keli Keningau Prayitno (pictured), 28, tried to adopt the cat but it returned to the same spot - nuzzling the small blue headstone
Huyu alijaribu kuishi naye lakini paka huyo akarudi kwenye kaburi
Baadhi ya watu hasa wapita njia wameshajaribu kumchukua ili wakae naye lakini amekuwa akirudi kwenye kaburi la mmiliki wake huyo wa zamani, Hii ndiyo Dunia ya vituko na maajabu ndugu msomaji wa KwataUnit.com
Despite being offered new homes, even a year later the cat can still be seen at the grave night and day

Ni kawaida ya Blog Yetu kukuletea story za Tofauti kidogo ili uwe mjanja kwa wenzio, sisi Tunakupa Unachokihitaji.
The pet walks to her former home every day where she is fed by the old lady's children - then returns to the grave
Hapa kalala kwenye kaburi
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.