Wednesday, November 30, 2016

Ommy Dimpoz Aumbuka kuhusu kununua viewers you tube atakiwa kumuomba radhi diamond

Baada ya Ommy Dimpoz kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommy ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununua...
Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abduli..
Wanasema uongo ukiongelewa sana bila kukanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa ukweli na wale wsiojua ndio huamini kabisa ni kweli.
Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza kama kweli watu wanaweza kununua views au viewers na wao wasigundue na kuchukua hatua..
Kwanza Mwakilishi yule aliweka wazi kabisa wao hapa East Afrika wanasimamia na ku control you tube channel za wasanii baadhi East Africa na kwa Tanzania wanasimamia Channel za kina AY,Mwana FA, wasanii wa wasafi wote na Alikiba.
Mwakilishi huyo aliendelea kufafanua kuwa ni vigumu mtu kununua viewers you tube na wasigundue na kuwaondoa na akaendelea kusema You tube ina wataalam wabobezi sana na wanajua kuna watu wanaweza fanya hivyo na hivyo wamejidhatiti sana kumfumo.
Aliendelea kusema kuwa kama ukinunua views wanafungia account yako na hutoweza kufungua account yeyote ile google na gmail account wanaifunga na alisema kuwa kamwe hawawezi kumruhusu mtu kununua views halafu waje kumlipa na haiwezekani.
Alipo ulizwa kuhusu Diamond kununua views alisema hakuna kitu kama hicho na hawewezi kuruhusu mtu anunue views halafu waje kumlipa na kamwe hawatoruhusu hilo hivyo habari hizo si kweli.
Hivyo mwakilishi wa You tube amehitimisha tuhuma na kufunga mjadala mzima juu ya ununuaji wa viewers na ni wazi habari zimemuumbua Ommy Dimpoz
Ommy anapashwa kujitokeza hadharani nakumuomba radhi Bwana Nasibu Addul.

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.