Thursday, 10 November 2016

Obama hakunipa pole nilipofiwa na wanangu wawili – asema kaka yake anayemuunga mkono Trump

Kaka yake Barack Obama, Malik, ana uchungu moyoni kwa aliyofanyiwa na ndugu yake, licha ya kuwa kiongozi wa taifa kubwa zaidi duniani – Marekani.
malik-obama
Malik ambaye alikuwa akimuunga mkono Donald Trump kwenye uchaguzi wa Marekani, amesema Barack hakuwahi kumpa pole pindi amefiwa na wanae wawili.
Kupitia Twitter, Malik ameandika: My two children died while my brother was President; not even simple condolence. Humiliated and demeaned. God Bless!
Baada ya ushindi wa Trump aliandika: All thanks and praises to Allah, God Almighty. I prayed for Barack Obama, he won; I prayed for Mr.Trump, he won. God does as He pleases.
Kauli hizo zimemfanya ashambuliwe vikali kwao Kenya. Hata hivyo amesema hababaishwi kwakuwa dua la kuku halimpati mwewe.
“For people of Kenya:Kogelo clan and my family(Mama Sarah),Rajula etc.cannot curse me; the curse is on them for trying to steal my birthright
They(Mama Sara),Kogelo clan(Rajula) changed my father and grandfather’s graves without the presence of me or my mother Mama Kezia,” ameandika.
hypocrite-corrompu-malik-obama-balance-sur-son-demi-frere
Barack na Malik wanachangia baba.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM