Tuesday, 22 November 2016

MTV Base south Africa, Imetaja List ya Marapa 10 wakali Kutoka Bongo Waliotisha zaidi Kwa Mwaka 2016.

Sasa Luninga ya MTV Base south Africa, imetaja list ya marapa 10 wakali waliotisha zaidi kwa mwaka 2016.

Namba moja wamempatia rapa Fareed ‘Fid q’ Kubanda kutokea Mkoani Mwanza, Itazame list nzima hapo chini then tuachie maoni yako,

#BongoHipHop |Tanzania| #TZHottestMCs 2016

1.Fid Q
2.John Makini
3.AY
4.Mwana FA
 5.ROMA
6.Mr. Blue
7.Nikki Wa Pili
8.G Nako
9.Prof Jay
10.Chindo Man

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM