Saturday, 12 November 2016

MAZISHI YA SPIKA WA ZAMANI MAREHEMU SAMWEL SITTA URAMBO TABORA

November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
VIDEO: Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM