Friday, 18 November 2016

Mayweather aamua kuingia kwenye kazi ya Upromota

Bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kuweka hadharani kazi ya upromota baada ya kudiawa kufanya kimya kimya.
3a73cbab00000578-0-image-a-13_1479334605878 Mabondia Badou Jack (kushoto) na James DeGale (kulia) huku Mayweather akiwa ni promota
Mayweather ambaye amesha staafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana akisimamia pambano la mabondia Badou Jack na James DeGale yeye akiwa ni promota.
3a73f47d00000578-0-image-a-14_1479334608757
DeGale (23-1-KO14) na Jack (20-1-2-KO12) mchezo huo utafanyika kwenye ukumbi wa Brooklyn Barclays Center, January 14,Mwakani 2017.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM