Thursday, 3 November 2016

Matokeo ya Simba na Stand United Nov 2 2016, Full Time 1-0

 

November 2 2016 Simba walicheza mchezo dhidi ya Stand United katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, Simba wakiwa katika uwanja huo wamefanikiwa kuwa timu ya kwanza msimu huu kumfunga Stand United kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 33 kwa mkwaju wa penati.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM