Monday, November 7, 2016

Maneno ya Diamond Platnumz baada ya Ushindi wa Tuzo za Afrima2016

Tuzo za All African Music Awards (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.

Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.


Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.


diamondplatnumz
Jus wanted to thank you and let you know that your favorite artist won 3 Awards last night on @afrimawards Nigeria.... SONG OF THE YEAR - UTANIPENDA
EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR & BEST AFRO POP ARTIST.... Thank you so much for your Votes🙏
(Ningependa niwashukuru na niwajuze Kuwa kipenzi chenu jana nimeshinda tuzo tatu...NYIMBO BORA YA MWAKA AFRICA- #UTANIPENDA MSANII BORA WA AFRO POP AFRICA na MSANII BORA WA AFRICA MASHARIKI...shukran sana sana kwa Kura zenu🙏)
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.