Wednesday, 2 November 2016

Mamia wajitokeza kumzika Thomas Mashali

Mamia ya watu Jumatano hii wamejitokeza kumzika bondia, Thomas Mashali aliyeuwawa usiku wa kuamkia Jumatatu kwa kupigwa na watu baada ya kudaiwa kuitiwa kelele za mwizi, kwa mujibu wa taarifa ya mtu wake wa karibu. kaburi-la-tomas-mashari Kaburi la Thomas Mashali
Mashali ambaye alitambulika zaidi kimapigano kama ‘Simba wa Nyika’ amezikwa katika makaburi ya Kinondani jijini Dar es salaam.
Kwa sasa familia inasubiria ripoti ya polisi huu kifo cha Mashali.
rais-wa-shirikisho-la-ngumi-za-kulipwa-tanzania-tpbo-yassin-abdallah-ustadh-akizungumza-na-waandishi-wa-habari-juu-ya-kifo-cha-mashali Rais wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) Yassin Abdallah (Ustadh) akizungumza na waandishi wa habari juu ya kifo cha Thomas Mashali
bondia-japhet-kaseba-katikati-akizungumza-na-wadau-wa-ndondi Bondia Japhet Kaseba (katikati) akizungumza na wadau wa ndondi
mashabiki-wa-ngumi-wakipiga-picha-mbele-ya-kaburi-la-mashali Mashabiki wa ngumi wakipiga picha mbele ya kaburi la Mashali
wadau-mbalimbali-wa-ndondi-wakijadiliana-mambo-baada-ya-mazishi Wadau mbalimbali wa ndondi wakijadiliana mambo baada ya mazishi

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM