Sunday, November 6, 2016

HILI NDILO KABATI LA NGUO LA MMILIKI WA FACEBOOKNilikuwa napita huku na huko katika mitandao,hatimaye nikakutana na maisha ya uvaaji wa nguo za mmiliki wa mtandao wa facebook MARK ZUCKEBERG.Huyu jamaa ametoa picha ya kabati la nguo zake,na kuelezea kuwa ndio kabati la nguo zake za kila siku azivaazo.Mark anasema ili asipoteze akili nyingi kwa mkewe na kwake juu ya nini avae na ni nmana gani anatakiwa kuvaa,ameamua kuwa na nguo za aina moja katika kabati yake na kutoa "tender"(zabuni) kwa kampuni kumtengenezea aina hiyo ya nguo,pia ameamua kununua nyumba iliyo karibu kabisa na Makao Makuu ya Facebook ili asiwe anatumia usafiri wa aina yoyote zaidi ya kutembea toka nyumbani mpaka ofisini.
Ukifuatilia hata katika makongamano yake na mihadhara ya kitaaluma ktk vyuo na maeneo mbalimbali unaweza dhania kuwa Mark huwa habadilishi nguo,kumbe ana kabati lililojaa nguo za aina moja
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.