Monday, 14 November 2016

Hawa ndo wachezaji watano wanaowania tuzo ya BBC 2016

Shirika la utangazaji Uingereza BBC November 2016 limetangaza rasmi majina ya wachezaji watano wa Afrika wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2016 wa BBC, majina hayo matano yalitajwa live katika kipindi cha TV.
92399555_english_english_compositevotenow624x351
Mshindi wa hiyo tuzo ya BBC 2016 atatangazwa December 12 2016 live kupitia BBC Focus On Africa TV na radio.
Hii ndo list kamili ya wachezaji watano
Sadio Mane (Liverpool/Senegal)
Yaya Toure (Man City/Ivory Coast)
Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
Andrew Ayew (West Ham United/Ghana)
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund/Gabon)

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM