Sunday, November 6, 2016

Tamasha la Fiesta 2016 lafana Dar

Shangwe zilitawala katika tamasha la burudani la Fiesta 2016 baada ya wasanii zaidi ya 30 wa kitaifa na kimataifa kuonyeshana uwezo katika jukwaa moja. tekno-akifanya-yake Tekno
Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na umati wa watu limefanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Wasanii wakimataifa walikuwa ni, Tekno na Yemi Alade huku wasanii wa ndani wakiwa zaidi ya 30.
Pia tamasha hilo limeweza kuwavuta baadhi ya viongozi wa serikali. Angalia picha. full-burudani Full kuburudika
king-kiba King Kiba
lord-eyes-na-nandy Lord Eyez na Nandy
rayvannvy-kutoka-wcb Rayvanny kutoka WCB
shangwe-za-fiesta Shangwe
stamina-na-roma Stamina na Roma barakah-the-prince Barakah The Prince
billnas Billnas
chege Chege
chidi-benz Chidi Benz
christian-bella Christian Bella
darassa Darassa
yemi-alade Yemi Alade
ben-pol-akiwa-na-dansa-wake Ben Pol akifanya yake
img_9615 Ben Pol akiwa na mrembo Nandy
jux-akizungumza-na-mashabiki-wake Jux akituma ujumbe kwa mashabiki wake
mwanamke-kiono Mwanamke kiuno
msami Msami akifanya yake
msami-akionyesha-maujanja-yeke Msami ndani ya stage
dogo-janja Dogo Janja img_9703
img_9710
img_9713
img_9837
img_9984
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha hilo.
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto) akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.


MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

NYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba akilishambulia jukwaa katika tamasha la Tigo Fiesta


MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno, akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.


UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha hilo.

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.