Tuesday, 29 November 2016

DAKTARI FEKI ARUHUSIWA KUJIENDELEZA MASOMO YA UDAKTARI


Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza Daktari feki aliyekamatwa nchini humo kuruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari.


Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki aliwafanyia upasuaji wagojwa tisa kati ya hao mmoja ambae alikuwa mjamzito ndio alipoteza maisha ila alifanikiwa kumuokoa mtoto.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM