Thursday, 10 November 2016

Cristiano Ronaldo apata mkataba wa kudumu kutoka Nike

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Portugal Cristiano Ronaldo, baada ya kuongeza mkataba mpya wa miaka mitano na klabu yake ya Madrid, amesaini mkataba mwingine mpya wa maisha na kampuni ya vifaa vya michezo Nike.
299880b800000578-3123140-image-a-1_1434234881621
Cristiano Ronaldo ni mwanamichezo watatu anakuwa kupata dili hilo kwa Nike la kupewa mkataba wa Maisha, mwanamichezo wa kwanza aliyepata dili hilo alikuwa mcheza kikapu Michael Jordan ambaye Nike ilikuwa ikimlipa dola Milioni 473 tangu mwaka 1993 na mwanamichezo wapi ni LeBron James.
Star huyo wa Real Madrid alishakuwa sponsored na kampuni hiyo ya Nike tangu mwaka 2003.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM