Saturday, November 5, 2016

BUNGE LA TANZANIA LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI (THE MEDIA SERVICES BILL, 2016)Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha Muswada wa sheria ya huduma za habari
(The Media Services Bill, 2016)
 tayari kusainiwa na rais ili kuwa sheria kamili.


Muswada huo uliwasilishwa bungeni jana mjini Dodoma na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kisha wabunge wakaanza kuujadili. Muswada wa sheria ya huduma za habari wa mwaka 2016 umejadiliwa kwa siku mbili.
Jana Rais Magufuli wakati akifanya mahojiano na wahariri wa vyombo vya habari alisema ukifika mezani kwake hautafikisha dakika bila kusainiwa.
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.