Monday, November 7, 2016

BREAKING NEWZZ :NOAH YAUA WATU 18 SHINYANGA BAADA YA KUGONGANA USO KWA USO NA LORI.
Noah ikiwa imeharibika-Picha zote na Frank Mshana- Malunde1 blog 
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga ACP Jumanne Muliro akiwa katika eneo la tukio
Noah ikiwa imeharibika
Miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio
Noah ikiwa eneo la tukio


Lori likiwa limeharibika
Lori likiwa limeharibika

Miili ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Noah kugongana na loriPicha zote na Frank Mshana- Malunde1 blog 
***** 
Watu 18 wamefariki dunia na watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya Noah iliyokuwa inatoka Nzega mkoani Tabora kuelekea Tinde mkoani Shinyanga na lori aina ya Scania lililokuwa linatoka Kahama kuelekea Dar es salaam.


Ajali hiyo imetokea leo Jumapili,November 06,2016 majira ya mbili kasorobo usiku katika eneo la Nsalala kata ya Tinde mkoani Shinyanga (Barabara ya Nzega- Shinyanga).

"Noah ilikuwa inataka kulipita lori jingine ndipo ikagongana uso kwa uso na lori lililokuwa linatoka Kahama... watu waliopoteza maisha papo hapo ni 15,watatu wamefariki wakati wakipatiwa matibabu,ajali inatisha,dereva wa Noah kajisalimisha kituo cha polisi Tinde",kimesema chanzo cha habari cha Malunde1 blog. 

Majeruhi wamekimbizwa hospitali ya mkoa wa Shinyanga.

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.