Friday, 11 November 2016

BREAKING NEWS : MBUNGE WA JIMBO LA DIMAN ZANZIBAR AFARIKI IDUNIA
TANZIA: tumepoteza mbunge leo alfajiri majira ya tisa mh. Hafidh Tahir ALLY amefia general hospital Dodoma


Mh. Hafidh Tahir Ally alikuwa mwamuzi wa FIFA na mwana-Yanga ya Kimataifa kindakindaki na ni jana tu amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Tawi la wabunge wanaYanga Dodoma chini ya Uenyekiti wa Venance Mwamoto.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM