Monday, 21 November 2016

BLOGGER LEWIS MBONDE NA BONDIA BINGWA TANZANIA FRANCIS CHEKA MASIKA MOROGORO MAANDALIZI YA PAMBANO LA COSMAS CHEKA NA MKENYA 9/12/2016 SAMAKI SAMAKI KIHONDA BIMA

Mmiliki wa Globu hii wa kwanza kulia nikiwa na Ernest Millinga,Francis Cheka katikati na Gift Yuda mitaa ya masika tulienda kuprint vipeperushi  vya promo kwa ajili ya pambano la Cosmas Cheka na Mkenya Sunday Otieno liloandaliwa na Cheka Promotion litafanyika pale samaki samaki kihonda bima morogoro tarehe 9 mwezi wa 12,2016 msikose kufika

 
 Bondia Francis Cheka na rafiki angu Ernest Millinga Dad M
Bondia Francis Cheka katika Pozi Picha kwa hisani ya Lewis Mbonde

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM