Wednesday, November 30, 2016

BIFU LA NAY WA MITEGO NA MR T TOUCH LAIBUKA UPYA


Bongoflevani zinachukuliwa na wakali wawili Producer  MrTee Touch ambayeanausika kutengeza midundo ya Rapper Nay wa Mitego wameingia kwenye bifu, ripoti kutoka kwenye Uhead ya Clouds zinadai kuwa wakali hao wanagombea baadhi ya beat ikiwemo beat ya mdundo wa ‘Pale Kati’

Kitu nilichoongea mimi ni kuwa anatumia beat zangu bila kuniambia kwa mfano beat ya Pale Kati ni haki yangu niliandaa mwenyewe yeye akaja akaichukua akaitoa bila kuniambia, kuanzia sasa hivi Nay wa Mitego haruhusiwi kutumia beat zangu’Mr Tee Touch
Nani anasema kuwa natumia beat zake bila taarifa kwa hizo beat sizimefanyika kwenye studio yangu ya Free Natio na akisema kuwa natumia beat zake bila kumwambia mwambie aje kuniambia mimi mwenyeweNay wa Mitego

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.