Wednesday, 9 November 2016

Barcelona kukata rufaa kadi ya njano aliyopewa Lionel Messi

Klabu ya Barcelona imetangaza kuwa watakata rufaa juu ya kadi ya njano aliyopewa Lionel Messi kwenye mechi ya juzi jumapili dhidi ya Sevilla.
3a21419c00000578-0-image-m-29_1478602280190
Messi alipewa kadi hiyo kipindi cha pili cha mechi hiyo kwa kuchelewesha muda alipokuwa akirudisha kiatu chake kwa mguu baada ya kuchezewa vibaya na Steven N’Zonzi.
3a2149a400000578-0-image-a-26_1478602269142
3a21419300000578-0-image-a-25_1478602261039
Baada ya mchezo huo ambao Barca walishinda 2-1, kocha Luis Enrique alisema kuwa mikanda ya kiatu cha Messi ilikatika baada ya kuchezewa rafu na N’Zonzi hivyo kusukumia mchezaji huyo kushindwa kurudisha kiatu mguu mwake mara moja.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM