Wednesday, November 2, 2016

ALIGONGA GARI LA POLISI KISA KUJIPIGA SELFIE

Agonga Gari la Polisi Kisa Kujipiga Selfie.
Miranda Radar aligonga gari la polisi huku akijipiga selfie. Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu nchini Marekani aligongesha gari lake kwa lile... Miranda Radar aligonga gari la polisi huku akijipiga selfie.Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu nchini Marekani aligongesha gari lake kwa lile la polisi, wakati akijipiga picha za selfie huku akiendesha gari.
Miranda Rader mwenye umri wa miaka 19, aligonga gari polisi alipokuwa akimtumia mpenzi wake picha za utupu kupitia kwa mtandao wa Snapchat.Ajali hiyo iliyotokea eneo la Bryan umbali wa kilomita 160 Kaskazini mwa mji wa Houston, ilisababisha mfuko wa hewa kuchomoka
Mwanafunzi huyo pia alipatikana na chupa ya mvinyo ndani ya gari lake kwa mujibu wa polisi. Hakuna mtu aliyejeruhiwa.Polisi ambaye gari lake liligongwa alikaribia gari la Bi Rader na kumpata akijaribu kuvaa nguo. Alipoulizwa mbona, alijibu akisema kuwa alikuwa akijipiga picha za selfie za kumtumia mpenzi wake.
Alikamatwa kwa kushukiwa kuendesha gari akiwa mlevi na kuachiliwa kwa dhamana ya dola 2000.
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

Total Pageviews

BONYEZA HAPO CHINI

TAZAMA FRANCIS CHEKA TV

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.