Wednesday, 26 October 2016

WEMA SEPETU NA ANT EZEKIEL WAMALIZA BIFU LAO

Kama ulikuwa bado upo kwenye ndoto ya Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kuwa maadui – amka!
14719668_1088554881213826_4820355986596298752_n Hii ni picha aliyoiweka Wema Sepetu kwenye mtandao wake wa Instagram
Wawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya madam Sepenga kuweka picha ya Aunty akiwa na mwanae Cookie aliyezaa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe ambao umeonekana kutoa watu machozi.
Wema ameandika kwenye mtandao huo:
My Picture of the day…!!! This is tooo Cute…. Mola akukuuzie Cookie wako Tiake…. #Priceless Dah… Iko siku na mimi Inshallah…. Hii pic imenitoa hadi chozi…. You are sooo blessed mumy… @auntyezekiel @auntyezekiel

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM