Saturday, 29 October 2016

SIMBA WAICHAPA MWADUI BAO TATU BILA (3-0) UWANJA WA KAMBARAGE SHINYANGA


Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba SC na Mwadui FC katika  uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga zimemalizika kwa timu ya Simba kuichapa Mwadui FC bao tatu bila.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM