Saturday, 29 October 2016

Sharukani wa Vingunguti Ajitapa kuwa yeye ni Bora kuliko Sharukhan wa Bombay

 

 Msanii wa bongo movie Affan Jamal maarufu kwa jina la SHARUKANI WA VINGUNGUTI anayetamba na filamu yake mpya inayoitwa NDANDA USWAZI inayofanya vizuri sokoni kwa sasa. Ameuambia mtandao huu LEWIS MBONDE BLOG kuwa yeye ni zaidi ya sharukhan wa Bombay kwa spidi anayokuja nayo.
 http://top10for.com/wp-content/uploads/2014/03/Shahrukh-Khan-Richest-Actor.jpg
 “Kwanza kabisa mimi ni handsome boy zaidi ya sharukhan wa Bombay pia katika uigizaji haniwezi kabisa atasubiri sanaa yeye anatumia zaidi editing katika kazi zake mimi situmii hizo mambo, watu wa vingunguti ambao ni mashabiki wangu Wao ndio walionitunga jina la sharukani wa vingunguti coz waliamini kuwa najua km sharukani na zaidi ya sharukhan wa bombay kuthibitisha hili ingia YouTube sharukani wa vingunguti muone video clip zangu ” Pia alisema kwa sasa yupo location anashoot filamu yake mpya jina hakulitaja ambayo amesema itakua moto wa kuotea mbali na amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM