Monday, 3 October 2016

SHARUKANI WA VINGUNGUTI AINGIA LOCATION KUSHOOT FILAMU YAKE MPYA

Sharukani wa Vingunguti 
Msanii wa Bongo movie Sharukani wa Vingunguti ameuambia mtandao huu leo mchana kupitia simu  kuwa ameingia location kushoot movie yake mpya hakuitaja kwa jina kama unavyoona ktk picha na amewaomba mashabiki wake mkae mkao wa kula kwani filamu inayokuja ni nzuri na hawezi kuwaangushaaa."Ni kweli nipo location nashoot filamu yangu mpya naombeni sana mashabiki wangu mnisapoti ni filamu nzuri sio ya kuikosa"No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM