Monday, October 31, 2016

Michezo TOP 10: Wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani, Afrika ni mmoja tu

Staa wa kimataifa wa Wales anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Gareth Bale ameingia katika TOP 3 ya wachezaji wa soka wanaolipwa pesa ndefu zaidi duniani ambapo ameingia katika list hiyo kutokana na mkataba wake mpya na Real Madrid.
39a6015b00000578-3889532-gareth_bale_has_put_pen_to_paper_on_a_new_deal_keeping_him_at_re-a-15_1477915544208
Gareth Bale
Kwa sasa Bale atakuwa akilipwa pound 346,000 kwa wiki ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 900 ambapo katika kipindi cha miaka sita Bale atakuwa kaingiza jumla ya pound milioni 108.
MANCHESTER, ENGLAND - MAY 24: Yaya Toure of Manchester City applauds supporters as he is replaced during the Barclays Premier League match between Manchester City and Southampton at Etihad Stadium on May 24, 2015 in Manchester, England. (Photo by Shaun Botterill/Getty Images)
Yaya Toure
Bale sasa anakuwa katika TOP 3 hiyo wakati kwa wachezaji wa Afrika, kiungo wa Man City na raia wa Ivory Coast Yaya Toure yupo nafasi ya 10 katika list ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani licha ya kuwa yupo katika wakati mgumu wa kujua hatma yake chini ya Guardiola.
qw121
List mpya ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani imetolewa leo October 31 2016.

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

Total Pageviews

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG PENDWA ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.