Wednesday, 5 October 2016

Huyu Ndiye Mke wa Waziri Aliyekuwa ATCL

Je yeye ni sababu ya ATCL kushindwa kujiendesha? sidhani kufanya kazi ATCL kama mke wa waziri ni kosa labda kama hana sifa inayotakiwa kuajiriwa then itakuwa ni jipu hilo!!!!!!
Au ipitishwe sheria wake za mawaziri wasiruhusiwe kufanya kazi serikalini...
Toa maoni yako...

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM