Monday, 3 October 2016

HONGERA SANA MDAU SAMSON KIKOTI KWA KUUAGA UKAPERA

 
Ukiwa mdau mkubwa wa mtandao huu tokea unaanza Iringa town ulinisapoti sana mpaka sasa umekua maarufu na kuhamishia makazi dar na Moro natambua sana sapoti yako my young bro.Mungu awasimamie ktk ndoa yenu idumu 

CEO:Lewis Mbonde

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM