Tuesday, 4 October 2016

Mayweather aendelea kuonesha jeuri ya pesa.Nisikuchoshe jionee mwenyewe bofya hapa


Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea.
mayweather
Wikiendi hii mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa muda mrefu Lil Kim zaidi ya dola 9,000 wakati akitumbuiza kwenye tamasha la Bad Boy Family Reunion huko Las Vegas.
Jeuri hiyo ya fedha ya Mayweather haijaishia hapo amepost kipande cha video kwenye mtandao wake wa Instagram kinachoonesha madola akiwa ameyapanga mezani kitendo kinachoonekana kuwatoa udenda baadhi ya watu.


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM