Sunday, 2 October 2016

DIAMOND PLATNUMZ AWASHUKURU MASHABIKI KWA STYLE YA KUWATUKANA..Image result for diamond platnumz 2016Jana septemba 30 wanamuziki Rayvanny na Harmonize kutoka WCB walipiga bonge moja la Show pande za Geita,
Nyomi lililotokea na shangwe walizopigiwa washikaji hao vimemfanya Bosi wao (Diamond Platnumz) kushindwa kuzificha hisia zake kwa kuwashukuru mashabiki kiasi cha kuporomosha mtusi kama unavyoweza kuona kwenye hii post yake hapa chini.

Unafikiri kitendo cha mwanamuziki huyu kutumia maneno kama haya kwenye post zake ni sawa?
Unaweza Kutuachia maoni yako kwenye uwanja wa Comment..

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM