Saturday, 1 October 2016

DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA BEI YA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM

AKIONGEA KUPITIA KITUO CHA TELEVISION CHA CLOUDS TV
KUPITIA KIPINDI CHA SHILAWADU ,ALIULIZWA SWALI KUHUSU GHARAMA YA PAGE YAKE KAMA AKITAKA KUIUZA..BILA KUTAFUNA MANENO DIAMOND ALISEMA PAGE YAKE ANAWEZA KUUZA KWA BEI YA DOLA MILIONI 2 SAWA NA TSH BILIONI 4 ZA KITANZANIA.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM