Thursday, September 29, 2016

Wema Sepetu awashukuru waliomtumia salamu za birthday, wakwe na maboyfriends ndani

Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu Wema Sepetu ambao ndugu, jamaa pamoja na marafiki walimtakia heri na mafanikio mrembo huyo. wema-sepetu
Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni baada ya mama Diamond kum-wish malkia huyo wa filamu huku akimkaushia Zari ambaye ni mama watoto wa Diamond.
Pia dada zake na Diamond walim-wish maklia huyo.
Baada ya kupokea salamu za watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia malkia huyo wa filamu na yeye aliamua kuwashurudu huku akionyesha kile ambacho hakukitarajia.
Wema kupitia istagram aliandika:
Wow… wow… wow… daah.. sijui cha kuandika.. am just out of words… Wema mimi nitamlipa nini Mungu kwa Neema na Baraka zake anazonijalia kila siku…?? Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa mumumu wangu, My family, my management, teamkazi wale kwa kufungua dimba last Night with that amazing suprise… alafu sasa huku insta, snapchat, twitter and kila site ambazo mmepost about My birthday nashindwa cha kusema.. toka nimeamka najitahidi kujibu kila post ninazoziona.. ila zinanielemea… ila ninajitahidi, nitajitahidi na nitahakikisha najibu Kila ambayo nakutana nayo… ila Daaah You Guys mnajua kupenda.. mpaka najiogopa kwa mapenzi mnayonipa.. what should i say?? Wakwe vepe?? Mawifi je?? Wake wenza nao ndani? Boyfriends nacheka peke yangu….. And sometyms hadi machozi ya furaha yananitoka… Nimekuwa Cry baby wa kujitegemea tokea saa sita usiku…. Na nadhani zoezi litaendelea mpaka siku hii iishe…. Nawapenda jamani… #AmaBeBack
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.