Saturday, 10 September 2016

WEMA SEPETU AINGILIA BIFU YA MAN FONGO NA MAMA YAKE,ADAI HAMJUI MAN FONGO
Leo ni siku ya 3 ya muendelezo wa sakata zito ambalo lime make headlines kinoma katika mitandao ya kijamii.
Ni sakata linalo muhusisha mama mzazi wa mwanadada Wema Sepetu na msanii mchanga ambaye amejipatia umaarufu mkubwa siku za karibuni kwa kufanya muziki wa kisingeli (Man Fongo).Jana tuliweza kuyasikia mapovu ya Mama Wema na mgomvi mwenzie Man Fongo ila leo Gossip MasterSoudy

Brown ameamua kumvutia waya ambaye anaseekana ndio chanzo cha sakata hilo Sholo Mwambana amefunguka ya kwake.Lakini hapo jana mwanadada Wema alipoona kama mama yake anakuwa ni gumzo sana katika mitandao ya kijamii akaona isiwe kesi ngoja amvutie waya Soudy Brown na kumwambia kuwa aachane na hizo mambo za kumchoresha mama yake.Ni mapovu sio ya kitoto yamemtoka Bi Dada Wema Sepetu na amekana kabisa yeye kumjua Man Fongowakati siku chache zilizopita alipost katika account yake ya Snapchat akiwa anaserebuka na ngoma ya “Hainaga Ushemeji”.
Isiwe kesi ngoja nikupe nafasi ya kuitazama na kusikiliza hii video yenye ubuyu wote unaokiki town kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM