Sunday, 25 September 2016

Wasanii wa bongofleva walivyowasili leo Taifa kwa mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera

Wasanii wa muziki wa bongofleva pamoja na wasanii wa bongo movie amewasili uwanja wa taifa muda huu kwa ajili ya mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera. wasani-wa-muziki Wasanii wa muziki
Kapteni wa timu ya wasanii wa bongofleva, H.Baba amehaidi kununua kila goli litalofungwa tsh 100,000.
Mechi kati ya wasanii wa muziki wa bongofleva pamoja na wasanii wa bongo movie inatarajiwa kuwa na msisimko wa aina yake kutokana na timu ya bongo movies kufunga katika mechi zao tatu za mwisho. Angalia picha.
Pia kutakuwa na mechi nyingine kati ya wabunge mashabiki wa simba pamoja na wabunge mashabiki wa Yanga.
waziri-mwigulu-nchemba
20160925_140335
20160925_140350
20160925_140357
20160925_140433
20160925_140903
20160925_140911
20160925_141147
20160925_141154
20160925_141541
20160925_141825


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM