Sunday, September 11, 2016

UTANI TOKA KENYA1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate. 3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full. 4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence. 5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka. 6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening. 7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam. 8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili. 9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando. 10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi. 11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick 12.
We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi 13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani 14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani. 15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu. 16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli. 17. Una chogi refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona. 18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.